Monday, October 15, 2012

HABARI NJEMA KWA WAPENZI WA SIMULI-HADITHI


Kama hukubahatika kuisoma au kuipitia hadithi ya SITAISAHAU FACEBOOK sasa ni nafasi yako kuisoma hapa hapa kwenye blog yako pendwa

       Wiki hii tuna ingizo jipya la Hadithi iliyoshika kasi facebook kupitia ukurasa maarufu wa UWANJA WA SIMULIZI sasa kurindima ndani ya blog hii fuatilia hadithi mbalimbali na kwa wiki hii tunaiingiza rasmi hadithi ya DADA EMMY JOHN inayoenda kwa jina la SITAISAHAU  FACEBOOK. ungana na mtunzi huyu chipukizi anayekwenda kwa kasi ya AJABU katika tasnia ya utunzi wa hadithi hapa TANZANIA. 

kuanzia kesho inaanza rasmi kuonekana hapahapa

USIKOSE KUFUATILIA HADITHI HII YENYE KILA HALI MVUTO

KARIBU SAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAANA

No comments:

Post a Comment

Recent Posts