Kama Boy friend/Mumeo anatatizo lifuatalo huu ni ufumbuzi wake.
Mnapokuwa faragha wakati wa majamboz boy friend/mumeo ana tatizo la kuwahi kumaliza kabla hata wewe hujafika hata robo ya 'safari'?
Mbaya zaidi wengine hutumia chini ya dakika tano(5) na akishamaliza hana 'mzuka' tena.
Ufumbuzi.
Dadkika chache kabla hamjaanza majamboz, tafuta pini(exactly iwe dizaini kama hiyo pichani).
Ibane kwenye nywele zako(za kichwani), hakikisha mwenzi wako haioni.
Kisha anzeni majambozi.
Nakuhakikishia mtapiga gemu na jamaa hatofika ila ataendelea kuwa fit mpaka utakapoitoa ile pini ndipo 'atamaliza'
So kazi itakuwa kwako mwanadada kwani pini yako ni kama remote control yako, ukitaka amalize unaitoa pini yako ukitaka aendelee hata kwa masaa matatu mfululizo unaicha tuu pini.
Kumbuka.
Hii ni kwa akina dada wenye nywele ndefu ziwe natural au hata 'wivingi', rasta etc.
Zingatia:
Mwenzi wako hatakiwi kuiona hiyo pini wala hatakiwi kujua kama unatumia hii mbinu.
NB: huu sio uchawi na wala haihusiani na ushirikina bali ni urithi kutoka kwa bibi zetu.
Proudly African.
adios....amigo.
Hapa tutazungumza na kuelezana kama vijana kuhusu MAPENZI NA MAHUSIANO. NJOO TUSHIRIKI kwa MAONI, USHAURI NA KUELEKEZANA JUU YA MAHUSIANO YA MAPENZI. KWA USHAURI NA MAONI E-MAIL mezjack@gmail.com +255752 595729
Wednesday, January 30, 2013
MAMBO YA CHUMBANI:Akina dada mnaijua tekniki hii?
----->
mahusiano
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ngoja nijaribu dada kwani dakika hata mbili haziishi kwa mwenzi wangu halafu ananiambia baadae na anachukua hata siku nne tena anajaribu tena kidogo nashukur kwa maujanja
ReplyDeleteDada ninashukuru nimejaribu mambo yalikwenda vizuri mpaka nikashangaa yaani kwa sasa ninafurahia ndoa yangu
ReplyDeleteDada asante kw mbinu hy mtaijarb alaf ntaleta majib manake hilo kilikuwa tatizo kubwa sana kwng
ReplyDeleteDada asante kw mbinu hy mtaijarb alaf ntaleta majib manake hilo kilikuwa tatizo kubwa sana kwng
ReplyDeletenitaijalibu mbinu hiyo nadhani itanifaaa kwenye ndoa yangu
ReplyDeleteAcheni ujinga kuna uhusiano gani kati ya pini na tendo la ndoa, labda ushirikina!
ReplyDeleteWhat if mwenz ako akiiona
ReplyDelete