Saturday, June 30, 2012

MWANAMKE ANARIDHISHWA NA NINI KATIKA MAPENZI

 >> hili ni swali ambalo nimekutana nalo jana sasa nani anajibu sahihi??

 Nauliza, wanawake wa siku hizi mbona ni matapeli sana wa mapenzi?
 
Je, wanawake siku hizi wanataka nini ndo watulie na mwanaume mmoja? Maana yeye anashangaa kwamba mwanamke wa leo hata ukiwa na mapesa kedekede ukampa, bado atakusaliti na kutafuta mwingine.  Hata ukiwa na uwezo kitandani wa kumpa raha zote za dunia, bado mwanamke haridhiki na atakusaliti!!!!!! INAKUWAJE HAPA KINA DADA ?

Je, ni kitu au vitu gani haswa vya kumfanya mwanamke atulie na kuyafurahia mahusiano yak?
Je, pesa peke yake inatosha? Je utaalam wa sita kwa sita ndo unahitajika?
Au labda ni mchanganyiko wa mambo mbalimbali ndo unaotakiwa ili mtu awe happy na relationship yake?

kama unajibu sahihi unaweza kuweka mchango wako hapa
 
 

No comments:

Post a Comment

Recent Posts