Monday, July 9, 2012

MALIPO YA UKARIMU-1

      Alex ni kijana mdogo mwenye umri wa miaka 22 tu lakini tayari alikuwa amepata nafasi ya kuingia chuo kikuu kwa mara ya kwanza katika maisha yaka. Akiwa mwenye furaha tele, Alex alivuta kumbukumbu ya yale yaliyowahi kumtokea huko nyuma, ambapo alikumbuka maisha machungu aliyoyapitia, ilikuwa ni vigumu kwake kuamini kama kweli siku moja angefika chuo kikuu. Mara nyingi kila akikumbuka ya nyuma machozi yalikuwa yakimlenga akitamani kulia lakini alijipa moyo, na kuona kama ni sehemu ya maisha ambayo hata wanadamu wengine wanayapitia. "thanks God leo nimeona jina langu kuwa naenda chuo kikuu, Duh siamini" hayo yalikuwa ni mawazo ya Alex akifikiria jinsi maisha yanvyobadilika. 
     

Thursday, July 5, 2012

LOVE STORIES COMING SOOOOOOOOOOOOOOOON

Katika ukurasa huu nitawaletea love story mbalimbali ambazo kimsingi zitakusisimua, kukuelimisha na ninauhakika utahusika na kama una Love Story yeyote basi nitumie nami nitaichapa ili na wengine waweze kujifunza kuanzia hapa ili kama nikuumizwa kwenye mapenzi basi mtu asijione yuko pekee yake katika mapenzi hayo. Love stories hizi zitaanza rasmi mnamo tarehe 9/07/2012.


Kaa tayari kupokea ujio mpya wa Blog yako na hutajuta kuzisoma, zipo nyingi na za kusisimua kama

MY JOURNEY TO YOUR HEART

IT MIGHT BE YOU

WHY ME?

SITAKUSAHAU ANNA

MAJUTO NI MJUKUU

MDOMO WA MAMBA

A CITY TO MO TOWN

NINGELIJUA NISINGE........

MY BLACK THURSDAY

WHAT GOES AROUND COMES AROUND

MALIPO YA UKARIMU


Na nyingine nyingi ambazo hakika hutajuta kuzisoma


KAMA UNA HADITHI BASI WASILIANA NAMI KUPITIA NAMBA HIZI

075-2595729

0683-072271/2

0712-681180


KARIBUNI SANA

Recent Posts